PouLagwiyann
Imejiunga 17 Aprili 2020
Habari !
Mimi ni PouLagwiyann,
Ninatoka Guyani ya Kifaransa na ninazungumza lugha ya Kifaransa, Kiingereza, Kikrioli cha Guyani ya Kifaransa na Kiswahili.
Mimi ni mchangiaji mkuu wa Wikipedia ya Kifaransa, hasa kwenye vipengee kuhusu Guyani ya Kifaransa. Nakuja kuchangia kwa nguvu kwenye Wikipedia ya Kiswahili !