Nneka (mwimbaji)
Mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa hip hop/soul wa Nigeria-Ujerumani
(Elekezwa kutoka Mtumiaji:Rwebogora/Nneka (mwimbaji))
Nneka Lucia Egbuna (alizaliwa 24 Desemba 1980) [1] ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji kutoka Nigeria. Anaimba kwa Kiingereza, Igbo na Pijini ya Nigeria.
Marejeo
hariri- ↑ "After the Escape: How Nneka Egbuna found a home in music – DW – 12/18/2017". dw.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-19.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nneka (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |