Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.

Mimi Salum Malick mshiriki wa google health speaks. Ninapenda kushiriki katika kutafsiri makala mbalimbali za mambo ya afya kadri niwezavyo. Nawakaribisha wengine pia kushiriki katika utafsiri huu.