Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.

Mimi Samwel Stephen nimeshiriki katika Google health speakers.Nilipendelea kutafasiri nakala za afya kwani Watanzania hawajui lugha nyingine tofauti na kiswahili kama lugha yao ya taifa. Na ningependelea kutafsiri nakala nyingi kadri niwezavyo.