Habari ndugu, Nakupongeza kwa juhudi yako katika uandishi wa makala, ila katika mkala zako bado azina mpangilio mzuri na zina lugha ya kompyuta,naomba ufanye marekebisho na pia kupitia ukurasa wa msaada ili kujifunza zaidi. Amani kwako Justine Msechu (majadiliano)