Smartjon
Imejiunga 25 Novemba 2009
Kuh Mimi | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|
|
Pokea salamu msomaji mwenzangu. Mie ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Strathmore. Ni furaha yangu kuweza kuruhusiwa kushiriki katika shindano hili. Hata napigwa na butwaa kwani nimekuwa nikitumia wikipedia katika kujifunza mambo kadha wakadha lakini sijawahi fikiria kuwa mchangiaji, kwa hivyo shukrani kwa Google na wadhamini wote. Najulikana kama John Opiyo Adams. [| My Blog Site]