Habari!
   Naitwa Kelvin Charles Meena natokea Arusha Tanzania, ni mhariri wa kujitolea wa mtandao wa Wikipedia ya Kiswahili.
  na pia ni mwanafunzi wa teknolojia ya kompyuta  na ninapenda fani yangu.