Mtumiaji:Tatianna20/Athari za vita kwa watoto
Idadi ya watoto katika maeneo yenye mapigano yenye silaha ni karibu milioni 250.[1] Watoto hawa wanakabiliana na madhara ya kimwili na kiakili kutokana na athari za kuishi maeneo yenye vita.
"Migogoro ya silaha" inaweza kuelezewa katika njia kuu mbili kulingana na Sheria ya Kimataifa ya Kibinadamu: "1) migogoro ya kimataifa ya silaha, kupinga Mataifa mawili au zaidi, 2) migogoro ya silaha isiyo ya kimataifa, kati ya vikosi vya serikali na makundi yasiyo ya kiserikali, au kati ya makundi hayo pekee.[2]
Watoto katika maeneo ya vita wanaweza kutumika katika maswala ya uhalifu, na kuwa askari watoto. Inakadiriwa kuwa kuna takriban wanajeshi watoto 300,000 duniani kote na asilimia 40 kati yao ni wasichana.[3][4]Watoto pia ni waathirika wa migogoro ya silaha, wanalazimika kuhama,[5] wanaugua magonjwa ya zinaa na wananyimwa fursa za elimu.[6]
Marejeo
hariri- ↑ https://www.unicefusa.org/mission/emergencies/conflict
- ↑ "How is the term "Armed Conflict" defined in international humanitarian law? - ICRC". www.icrc.org (kwa American English). 2008-03-17. Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
- ↑ https://web.archive.org/web/20180308103510/https://www.unric.org/en/latest-un-buzz/29639-4-out-of-10-child-soldiers-are-girls
- ↑ Peter W. Singer (-001-11-30T00:00:00+00:00). "Young Soldiers Used in Conflicts Around the World". Brookings (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
{{cite web}}
: Check date values in:|date=
(help) - ↑ https://www.apa.org/monitor/sep01/childwar
- ↑ Machel, Gracʹa (2001). The Impact of War on Children : a Review of Progress Since the 1996 United Nations Report on the Impact of Armed Conflict on Children. Internet Archive. London : Hurst. ISBN 978-1-85065-485-8.