Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika IFM.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


Mimi naitwa Anold G. Wamai ni mwanafunzi katika chuo cha usimamizi wa fedha Dar es salaam Tanzania. Ninasoma shahada ya kwanza ya sayansi ya kompyuta mwaka wa pili. Tuungane tukuze lugha ya kiswahili kwa kutumia wikipedia.