Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

 • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
 • nor copied texts/images from other webs to this site!
 • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Mr Accountable (majadiliano) 11:48, 24 Novemba 2009 (UTC)


ViungoEdit

Nitangulize mambo 2:

 1. Umeniandikia kwenye akaunti ya Mr Accountable. Mimi ni Kipala.
 2. Ukiandika kwenye ukurasa wowote wa majadiliano afadhali utie sahihi (tazama jinsi ya kupanga maandishi yako kwenye kurasa za majadiliano)

Sasa kuhusu makala:

 1. angalia Gideon Moi. Bado viungo vingi vyenye koma - nukta ndani yake. Ukiviondoa utaona cha buluu!
 2. ukichagua orodha na kuweka viungo utaona mengi mekundi kama ni katika eneo la ujuzi ambaki hakuna makala bado.
 3. Msaada wa masomo ya elimu ya juu wa Jumuiya ya Madola: viungo kadhaa sielewi:
  • usio chini ya idara ya umma ?????
  • hizi idara za Jumuiya ya Madola: Kwa nini vipate sasa makala ya pekee nje ya jumuiya yenyewe?

--Kipala (majadiliano) 14:41, 13 Desemba 2009 (UTC)