Yussuf salum khamis
YUSSUF SALUM KHAMIS NI KIJANA WA KIZANZIBAR aliyejiingza katika sanaa ya filamu na sasa tayari amesharekodi filamu yake ya yote maisha lakini ameshindwakuitia sokoni kwa sababu ya uwezo kifedha. hivyo yussuf anawaomba wadau wa filamu kuiangalia Zanzibar kwa jicho la huruma. kwa maelezo zaidi tembelea <www.winnersislands.com
JINA :YUSSUF SALUM KHAMIS UMRI :MIAKA 20 KAZI :MUIGIZAJI WA FILAMU MAKAZI:MJINI UNGUJASIMU :0777723099 HISTORIA KWA UFUPI
YUSSUF alianza shughuli za sanaa mnamo mwaka 2006 katika kikunda cha winners islands arts group mwanakwerekwe Zanzibar kwa kipind cha mwaka mmoja alicheza sanaa za jukwaa ndipo kipaji chake kikaonekana na uongozi wa kikundi kiitwacho BWEFUM SANAA GROUP na kumuhitaji YUSSUF akashirikiane nao katika fani hiyo .Kwa kua yussuf sanaa imo ndani ya damu yake basi hakuwa na sababu yakupinga suala hilo.Nyote njema huonekana alfajiri huko yussuf alipewa jukumu zito la kuwa mkuu wa sanaa baada ya wiki mbili tu za kufika kwake aliliendesha jahazi hilo zito hadi alipopiga hatua ndogo ya kufanikiwa kurekodi filamu ambayo hadi sasa haijatoka iitwayo YOTE MAISHA ndipo yussuf akaona iko haja ya kurudi nyumbani kwa ajili ya kukinyanyua kikundi chake cha WINNERS ISLANDS ARTS GROUP.