Yussuf salum khamis
Karibu Ndugu Yussufu Salum katika Wikipedia ya Kiswahili! Tunafurahia tukiona kila mmoja akiingia na kujiunga nasi. Waweza kupata "Msaada wa kuanzisha makala", ukiwa una swali huliza tu utajibiwa!--Mwanaharakati (majadiliano) 09:55, 1 Aprili 2008 (UTC)
Kuwa na makala katika Wikipedia
haririSalam nyingi kutoka huku Dar es Salaam zikufikie Nd. Yussuf Hamis wa Zanzibar. Naona unaomba uwe na makala katika Wikipedia, sawa! Lakini je umeshawi kucheza hata filamu moja? Au hata kuimba muziki uliyojulikana huko Zanzibar? Hatukatai kukuandika la. Ila tunataka vitu vyenye uhakika! Na sio kujiandikia tu. Basi unaombwa uorodheshe majina ya filamu na nyimbo ulizowahi tunga na kusikika katika mji wa Zanzibar, na ukifanya hivyo itarahisisha kwa sisi kukuandika wewe! Kila lakheri katika kazi yako ya uigizaji na muziki. Wako katika ujenzi wa Wikipedia,--Mwanaharakati (majadiliano) 11:47, 16 Aprili 2008 (UTC)