Muş (Kiarmenia: Մուշ, Muš, Mush au Moush) ni jina la kuita mji mkuu wa Jimbo la Muş huko nchini Uturuki. Idadi ya wakazi kimanispaa ya mjini hapa inataja kuwa ni 64,088 (kwa sensa walioifanya kunako mwaka wa 1997).

General view, Muş

Mji huu unatazamika kama mmoja kati ya miji ya mwanzoni kabisa ya kituo cha ustarabu wa Kiarmenia na kujengwa makanisa ya kale ya Kiarmenia hadi kunako miaka ya 1960. Pia, kuna misikiti kutoka katika zama za Waseljuk, misikiti hiyo ni pamoja na Alaeddin Pasa, Haci Seref na Ulu Mosques. Mus ilikuwa chini ya utawala wa ustarabu wa falme za Waurartu, Wamedia, Waajemi, Waarmenia, na Wabyzanti.

Viungo vya Nje

hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Muş kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.