Muhammad I Pasha
Beylerbey wa Jimbo la Algiers
Muhammad I Pasha alikuwa Pasha katika utawala wa Algeria kutoka 1566.[1]Alikuwa mwana wa Pasha maarufu wa Algiers Salah Rais.[1]
Alikuwa imara katika kupanua Algiers na kujenga ngome kadhaa. Alifuatwa na Uluç Ali Reis, maharamia maarufu wa asili ya Italia.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muhammad I Pasha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |