Muhanga (awali: Gitarama) ni mji ulioko kusini mwa Rwanda.

Muonekano wa Mji wa Muhanga
Muhanga

Mwaka 2005 ulikuwa na wakazi 87,613.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri


Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Muhanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.