Mkoa wa Kusini (Rwanda)
Mkoa wa Kusini (kwa Kinyarwanda: Intara y'amajyepfo) ni kati ya mikoa mitano ya Rwanda tangu mwaka 2006, ambapo ulianzishwa kwa kuunganisha mikoa ya Butare, Gikongoro na Gitarama.
Kwa sasa linaundwa na wilaya 8:
Makao makuu yako Busasamana, katika wilaya ya Nyanza, lakini miji mikubwa zaidi ni:
Wakazi ni 2,266,000.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kusini (Rwanda) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |