Muhula
Muhula ni kipindi cha mwaka wa masomo katika kalenda ya shule au taasisi ya elimu ambacho kinaonyesha muda ambao wanafunzi watakuwa shule na muda wa likizo.
Katika mfumo wa elimu ya Tanzania kuna mihula mikuu miwili (2). Katika shule za msingi muhula wa kwanza unaanza mwezi Januari mpaka Juni. Na muhula wa pili unaanza mwezi Julai mpaka wa Desemba.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muhula kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |