Music & Me
1973 studio Albamu ya Michael Jackson
(Elekezwa kutoka Music and Me)
Music & Me ilikuwa albamu ya tatu kutolewa na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Albamu ilitolewa mnamo tar. 13 Aprili ya mwaka wa 1973, na studio ya Motown. Albamu ilitolewa wakati wa kipindi kigumu sana kwa kufuatia bwana mdogo mwimbaji alikuwa na mabadiliko ya sauti kutoka udogoni kwenda ukubwani na hivyo kupelekea kuleta tabu na badililo la muziki.
Music & Me | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Michael Jackson | |||||
Imetolewa | 13 Aprili 1973 | ||||
Imerekodiwa | 1971-1973 | ||||
Aina | R&B, soul, pop/rock[1] | ||||
Urefu | 31:51 | ||||
Lebo | Motown | ||||
Mtayarishaji | Hal Davis | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Michael Jackson | |||||
|
Historia
haririOrodha ya nyimbo
hariri- "With a Child's Heart" (Basemore/Cosby/Moy) (yenyewe kabisa iliimbwa na Stevie Wonder) – 3:29
- "Up Again" (Perren/Yarian) – 2:50
- "All the Things You Are" (Hammerstein/Kern) – 2:59
- "Happy" (Kibwagizo kutoka katika filamu ya Lady Sings the Blues) (Legrand/Robinson) – 3:25
- "Too Young" (Lippman/Dee) – 3:38
- "Doggin' Around" (Agree) (yenyewe kabisa iliimbwa na Jackie Wilson) – 2:52
- "Johnny Raven" (Page) – 3:33
- "Euphoria" (Ware/Hilliard) – 2:50
- "Morning Glow" (Schwartz) – 3:37
- "Music and Me" (Cannon/Fenceton/Larson/Marcellino) – 2:38
Marejeo
hariri- ↑ "Music & Me". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Music & Me kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |