Mustafa Mkulo
Mustafa Haidi Mkulo (amezaliwa tar. 26 Septemba 1946) ni mbunge wa jimbo la Kilosa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ "Mengi kuhusu Mustafa Haidi Mkulo". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 2011-11-04. Unknown parameter
|=
ignored (help)
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |