Mutsuhito (3 Novemba 185230 Juni 1912) alikuwa mfalme mkuu wa 122 (Tenno) wa Japani. Pia anajulikana kama Meiji. Mwaka wa 1867 alimfuata baba yake, Komei, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake Yoshihito.

Mfalme Mutsuhito

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mutsuhito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.