Muyiwa Ademola
Muyiwa Ademola (alizaliwa 26 Januari 1971) ni mwigizaji wa Nigeria wa Nollywood, mtengenezaji wa filamu, muandaaji na pia muongozaji.[1] Mwaka 2005 filamu yake ya ORI ilishinda tuzo ya 1st Africa Movie Academy Awards. Mwaka 2008 alichaguliwa kuingia katika tuzo za 4th Africa Movie Academy Awards.[2][3]
Maisha ya awali
haririAlizaliwa tarehe 26 Januari 1971 huko Abeokuta, mji mkuu wa jimbo la Ogun nchini Nigeria.[4]
Taaluma
haririAlijiunga rasmi na uchezaji wa filamu kupitia kwake Charles Olumo, na anajulikana zaidi kama Agbako.[5] ba baadae alikutana na muongozaji wa filamu aitwae S.I ambae alimfundisha kuigiza na kutayarisha filamu .[6] Alianza rasmi uigizaji wa filamu mwaka 1991, na mwaka 1995, alianza rasmi filamu ya kwanza aliyoiandika iitwayo Asise Tangu mwaka 1995, amekuwa akiandaa filamu katika lugha ya Kiyoruba zikiwa zinatoka Nollywood.[7] Mwezi Januari mwaka 2013 alipata ajali iliyosababisha kifo chake [8]
Filamu
hariri- Asise (1995)
- Ogo Osupa
- Ori (2004)
- Ile
- Alapadupe
- Ami Ayo
- Fimidara Ire
- Gbarada (2019)
Marejeo
hariri- ↑ Our Reporter. "Few know I'm a Prince –Muyiwa Ademola". Iliwekwa mnamo 3 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "TOP NIGERIAN ACTRESSES BATTLE FOR AMAA 2008 AWARDS". thenigerianvoice.com. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "African Movie Academy Awards - 2008 - Winners & Nominees". Iliwekwa mnamo 3 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Tolu. "Actor, Muyiwa Ademola Shares Photos Of His Lovely Wife And Kids". INFORMATION NIGERIA. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Popular Actor, Muyiwa Ademola Loses Dad". thenigerianvoice.com. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Check Out Yinka Ayefele, Femi Adebayo, Muyiwa Ademola And Other At Ale Erebe In Ibadan - NEWSCRIB.NET". NEWSCRIB.NET. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-01-03. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Januari 2015. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "More sad news in Nollywood: Actor Muyiwa Ademola involved in fatal accident". DailyPost Nigeria. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Januari 2015. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muyiwa Ademola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |