Lesotho ni taifa la Kusini mwa Afrika linalozungukwa na jamhuri ya Afrika Kusini. Kundi kubwa la kabila ni la Basotho. Utamaduni wa Basotho umezama katika tamaduni za muziki.

Bendera ya Lesotho.
Makala hii kuhusu "Muziki wa Lesotho" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.