Spice Girls
Spice Girls ni kundi maarufu la muziki wa pop kutoka nchini Uingereza. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1994. Moja kati ya vibao vyao vikali ni pamoja na "Wannabe", "Spice Up Your Life" na "Stop".
Spice Girls | |
---|---|
Spice Girls wakiwa kazini
| |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | London, Uingereza |
Aina ya muziki | Pop rock, dance-pop, teen pop |
Miaka ya kazi | 1994–2001; 2007–2008 |
Studio | Virgin Records |
Tovuti | www.thespicegirls.com |
Wanachama wa sasa | |
Melanie Brown (Scary Spice) Victoria Beckham (Posh Spice) Emma Bunton (Baby Spice) Melanie Chisholm (Sporty Spice) Geri Halliwell (Ginger Spice) |
Kundi zima linaundwa na mwanachama kama: Victoria Beckham ("Posh Spice"), Melanie Brown ("Scary Spice"), Emma Bunton ("Baby Spice"), Melanie Chisholm ("Sporty Spice") na Geri Halliwell ("Ginger Spice").
Kundi limetoa albamu tatu: Spice mnamo mwaka wa 1996, Spice World mnamo mwaka wa 1997 na Forever mnamo mwaka wa 2000. The Spice Girls pia wamecheza kwenye filamu ya Spiceworld: The Movie, ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Desemba katika mwaka wa 1997.
Wasichana hao watano walikuja kuungana tena hapo mnamo mwaka wa 2007 na kutangaza kwamba wafanya ziara ya kimataifa Ilihifadhiwa 24 Oktoba 2009 kwenye Wayback Machine. ambayo imeanza mwezi wa Desemba.
Tazama pia
haririViungo vya Nje
hariri- The Spice Girls Reunion Tour Ilihifadhiwa 24 Oktoba 2009 kwenye Wayback Machine.
- Spice Girls and Geri Halliwell website
Makala hii kuhusu mwanamuziki wa Uingereza bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Spice Girls kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |