Mvumo wa Afrika
Mvumo wa Afrika (Borassus aethiopum) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mvumo wa Afrika (pia mvumo peke yake), mtapa au mchapa (Borassus aethiopum) ni mti mrefu wa familia Arecaceae ambao matunda yake (mavumo) yalika. Jani lake huitwa tapa na hutumika kama mwavuli.
Picha
hariri-
Mti mdogo unaonyesha matapa
-
Mbegu
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mvumo wa Afrika kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |