Mwavuli (wingi: miavuli) ni chombo cha duara ya kitambaa chenye fimbo moja katikati kinachotumika kukinga mtu dhidi ya mvua au jua.
Pia hutumiwa kufanya kivuli na kukinga watu dhidi ya mionzi ya jua.
Mwamvuli ulivyo.
Mchoro wa watu wenye miavuli.
Mwanamume ameketi chini ya mwavuli.