Mwambao
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Mwambao ni sehemu iliyo karibu na bahari, ziwa au mto pale ambako nchi kavu na maji zinakutana.
Ni neno ambalo maana yake hufanana na pwani lakini linatazama eneo karibu zaidi na maji pekee.
Hivyo inaweza kutaja sehemu maalum karibu na bahari, kama vile kata ya Mwambao (Rufiji).