"Mwana Mnyonge" ni jina la kutaja albamu ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Kitanzania, Q Chillah. Albamu ilitayarishwa na Bizz Man kupitia studio za Poa Records. Moja kati ya albamu zinazotia huzuni sana katika kusikiliza kwa kipindi cha 2002-2003.[1]

Mwana Mnyonge
Mwana Mnyonge Cover
Studio album ya Q Chief
Imetolewa 2002
Imerekodiwa 2002
Aina Bongo Flava
Lebo GMC Wananchi
Mtayarishaji Bizz Man

Orodha ya nyimbo hariri

Hii ni orodha ya nyimbo zinazopatikana katika albamu hii.

  1. Zamani – Q-Chief akiwa na Lady Jay Dee Zamani
  2. Naijutia Nafsi
  3. V.I.P – Q-Chief
  4. Khadija – Q-Chief
  5. Tunatawala – Q-Chief akiwa na Dataz na Squeezer
  6. Nyumbani
  7. Mwana Mnyonge – akiwa na Fanani
  8. Aseme
  9. Si Ulinikataa – Q-Chief akiwa na Biz Man
  10. Mariam
  11. Party

Tazama pia hariri

Marejeo hariri