Ulinzi (pia: ulindaji; kutoka kitenzi kulinda) ni kazi au namna ya kuangalia usalama wa watu, mifugo, majengo na vitu vingine.