Mwatenga
Mwatenga ni kata ya Wilaya ya Mbarali katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania.
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 12,557 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,416 [2] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53617.
Kufuatana na wenyeji, chanzo cha jina Mwatenga ni kuendelea kumpa umaarufu chifu Chawaka Mwatenga aliyejulikana kwa juhudi za uongozi wake na kutoa tiba za asili kwani alikuwa mganga aliyetatua matatizo ya watu.
Marejeo
hariri- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "Sensa ya 2012, Mbeya - Mbarali DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2017-03-14.
Kata za Wilaya ya Mbarali – Mkoa wa Mbeya - Tanzania | ||
---|---|---|
Chimala | Igava | Igurusi | Ihahi | Imalilo Songwe | Ipwani | Itamboleo | Kongolo | Lugelele | Luhanga | Madibira | Mahongole | Mapogoro | Mawindi | Miyombweni | Mwatenga | Ruiwa | Rujewa | Ubaruku | Utengule Usangu |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mwatenga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |