Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika

Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika ni mkuu wa Tume ya Umoja wa Afrika.[1]

Mwenyekiti wa Tume ya
Umoja wa Afrika
Aliyepo
Nkosazana Dlamini-Zuma

tangu 15 Oktoba 2012
MchaguziBunge
KipindiMiaka minne
Muundo16 Septemba 2003
Tovuticpauc.au.int/en/

Historia hariri

Orodha hariri

# Picha Mwenyekiti Amechukua Ofisi Ameondoka Ofisini Nchi Kanda
  Amara Essy (kwa muda) 16 Septemba 2003   Côte d'Ivoire Afrika Magharibi
1   Alpha Oumar Konaré 16 Septemba 2003 28 Aprili 2008   Mali Afrika Magharibi
2   Jean Ping 28 Aprili 2008 15 Oktoba 2012   Gabon Afrika ya Kati
3   Nkosazana Dlamini-Zuma 15 Octoba 2012 Aliyepo   Afrika Kusini Kusini mwa Afrika

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "AU: The Commission". African Union. Iliwekwa mnamo 3 February 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)