Juma Suleiman N'hunga

(Elekezwa kutoka N'hunga Juma Suleiman)

Juma Suleiman N'hunga (amezaliwa tar. 1 Januari 1956) ni mbunge wa jimbo la Dole katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Juma Suleiman N'hunga". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.