Nabil Bahoui
Nabil Bahoui (kwa Kiarabu: نبيل بحوي; alizaliwa 5 Februari 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu kitaalam kutoka Uswidi ambaye awali alicheza katika klabu ya Qatar SC kama mshambuliaji pembeni, lakini sasa mara nyingi hutumiwa kama mshambuliaji tu.
Nabil Bahoui (vs. DIF, 2014, cropped).jpg | |||
Maelezo binafsi |
---|
Taaluma
haririTarehe 8 Novemba 2012 Bahoui alisaini mkataba wa miaka 3 na nusu na AIK. Kwanza alichagua nambari 14. Walakini, kutokana na makubaliano na kiungo mwenzake Lalawélé Atakora, ambaye wakati huo alikuwa anavaa nambari 11, alibadilishana kutoka 14 hadi 11.
Kimataifa
haririTarehe 26 Agosti 2014, Nabil aliteuliwa kujiunga na timu ya taifa ya Uswidi kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Estonia na pia alikuwa katika kikosi wakati Uswidi ilipokabiliana na Austria katika kufuzu kwa Michuano ya Ulaya ya 2016.[1]
Historia
haririAIK
Viungo vya nje
haririMarejeo
hariri- ↑ "Nabil Bahoui". national-football-teams.com (kwa Kiingereza).
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nabil Bahoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |