Nabil Bentaleb

Mchezaji wa soka wa Algeria

Nabil Bentaleb (amezaliwa Novemba 24 1994) ni mchezaji wa soka wa Algeria ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani na timu ya taifa ya Algeria.

Nabil Bentaleb

Nabil Bentaleb alicheza mechi yake ya kwanza ya kitaifa {mwezi Machi 2014} na ameiwakilisha Algeria katika Kombe la Dunia la FIFA la {2014 na 2015},na 2017 Kombe la Mataifa {mwaka 2017}.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nabil Bentaleb kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.