Nadine Angerer

Mchezaji wa mpira wa miguu wa Ujerumani

Nadine Marejke Angerer (alizaliwa 10 Novemba 1978) ni mkufunzi wa mpira wa miguu wa Ujerumani ambaye ni mkufunzi wa mchezaji Portland Thorns wa ligi ya soka ya wanawake (NWSL). [1]

Kazi hariri

Angerer alizaliwa huko Lohr am Main, karibu na Frankfurt. Kazi yake ya soka alianza na klabu ya ASV Hofstetten, ambapo alicheza kama mshambuliaji. [2] Alipochukua nafasi ya kipa aliyejeruhiwa wakati wa mchezo wa skauti ya vijana, aligunduliwa kuwa ana kipaji cha ukipa. Mnamo 1995, alihamia 1. FC Nürnberg na mwaka mmoja baadae akahamia klabu ya FC Wacker München . Akiwa Wacker, alikataa nafasi ya kuchezea timu ya soka ya chuo kikuu cha Marekani. [3]

Marejeo hariri

  1. "Eckerstrom, Thorns cause nightmares for Courage in NWSL Challenge Cup victory", Portland Timbers. 
  2. "Nadine Angerer". UEFA. 11 September 2009. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 January 2016. Iliwekwa mnamo 27 June 2015.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Career". Angerer-Nadine.de. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 June 2015. Iliwekwa mnamo 27 June 2015.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadine Angerer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.