Nagasaki
Nagasaki ni mji wa Japani kwenye kisiwa cha Kyushu mwenye wakazi 450,000.
Umejulikana kimataifa kwa sababu uliharibiwa tarehe 9 Agosti 1945 na bomu la nyuklia la Kimarekani kama mji wa pili katika historia baada ya Hiroshima. Bomu hilo liliua watu 36,000 mara moja na wengine waliokadiriwa kuwa kati ya 70,000 na 100,000 walikufa baadaye kufuatana athari ya mnururisho wa kinyuklia.
Kihistoria Nagasaki ilikuwa kitovu cha Ukristo katika Japani mnamo mwaka 1600. Imani hiyo ilipigwa marufuku na serikali, hivyo Wakristo wengi waliuawa katika miaka iliyofuata. Wachache walitunza imani kwa siri hadi kurudishwa kwa uhuru wa dini katika karne ya 19.
Viungo vya Nje
hariri- WW2DB: Destruction of Hiroshima and Nagasaki
- Official website Ilihifadhiwa 20 Aprili 2010 kwenye Wayback Machine. in English
- Nuclear Files.org Ilihifadhiwa 8 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
- 'Nagasaki's Sister Cities Ilihifadhiwa 2 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- Nagasaki Japan Association for Language Teaching (JALT) Ilihifadhiwa 13 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Nuclear Weapons and Warfare Ilihifadhiwa 13 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Why Hiroshima And Nagasaki
- Nagasaki Prefectual Tourism Federation Ilihifadhiwa 17 Januari 2007 kwenye Wayback Machine.
- Nagasaki Social Networking Service
- Nagasaki Product Promotion Association
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nagasaki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |