Nanchang (kwa Kichina: 南昌) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Jiangxi.

Mji wa Nanchang








Nanchang
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi China
Jimbo Jiangxi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 3,790,000
Tovuti:  www.nc.jx.cn

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, kuna wakazi wapatao milioni 5 wanaoishi katika mji huu.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nanchang kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.