Narno wa Bergamo (alifariki 345 hivi) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa Bergamo (Italia Kaskazini).

Carlo Ceresa, Mt. Narno Askofu, Villa d'Ogna, Bergamo.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Agosti.[1]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.