Nasaba ya akina Antonin

Nasaba ya akina Antonin ilikuwa nasaba ya Makaizari wa Roma. Ilidumu kuanzia 138 hadi 192 chini ya utawala wa Antoninus Pius, Marcus Aurelius na Commodus.

Sanamu la Antoninus Pius

Tazama piaEdit