Marcus Aurelius

Marcus Aurelius (26 Aprili, 12117 Machi, 180) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 8 Machi, 161 hadi kifo chake. Alimfuata Antoninus Pius. Mpaka 169 alitawala pamoja na Lucius Verus, na kuanzia 177 alitawala pamoja na mwana wake, Commodus.

Statua Marco Aurelio Musei Capitolini Fronte2.JPG

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcus Aurelius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.