Nassim Banouas (alizaliwa 8 Septemba 1986) ni mwanasoka mstaafu wa Ujerumani ambaye alicheza kama mlinzi.[1]

Nassium Banouas

Kazi hariri

Hapo awali Banouas alichezea klabu kama 1. FSV Mainz 05, Sportfreunde Siegen na 1. FC Kaiserslautern kabla ya kusaini na Kickers Offenbach. [2]

Maisha Binafsi hariri

Nassim Baba yake ni mzawa wa Algeria wakati mama yake ni Mjerumani.[3]

Marejeo hariri

  1. "Banouas, Nassim" (kwa German). kicker.de. Iliwekwa mnamo 23 November 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Nassim Banouas" (kwa German). der-betze-brennt.de. Iliwekwa mnamo 26 February 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Nassim Banouas" (kwa German). fussballdaten.de. Iliwekwa mnamo 26 February 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nassim Banouas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.