Natalia Elisante Sulle

Mwanariadha wa mbio za umbali mrefu Tanzania

Natalia Elisante Sulle (alizaliwa Julai 19 1988)[1] ni mtanzania mwanariadha wa mbio za umbali mrefu . mwaka 2019, alishiriki mbio za wanawake za IAAF World Cross Country Championships yaliyofanyika Aarhus, Denmark.[2] Alimaliza katika nafasi ya 68.[1]

Natalia Elisante Sulle
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwanariadha

Mwaka 2019, aliwakilisha Tanzania kwenye michezo ya Afrika iliyofanyika Rabat,Moroko. Alishindana nusu riadha ya wanawake na kumaliza katika nafsi ya 7 ndani ya muda wa 1:14:33.[2]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Natalia Elisante Sulle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. 1.0 1.1 https://media.aws.iaaf.org/competitiondocuments/pdf/6265/AT-XSE-W-f----.RS6.pdf?v=21598225
  2. 2.0 2.1 "African Games (Athletics) Results Women's Half Marathon Final". web.archive.org. 2019-10-01. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-01. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.