Natalya Gomez
Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|
Natalya Gomez ni profesa na mtafiti wa tabaka la barafu bahari na dunia katika Chuo Kikuu cha McGill. Gomez ni Mwenyekiti wa Utafiti nchini Canada katika taasisi ya Geodynamics inayojihusisha na utafiti wa matabaka ya Barafu kwenye Kiwango cha Bahari.[1] na alitunukiwa Tuzo ya cryosphere AGU mnamo mwaka 2019.[2]
Kazi
haririGomez alitunukiwa shahada yake ya kwanza katika masomo ya Fizikia na Hesabu mwaka (2006), na shahada yake ya uzamili katika Jiolojia ya Fizikia na Mafunzo ya Mazingira mwaka (2009), katika Chuo Kikuu cha Toronto. Gomez alipata Shahada ya Uzamivu katika Chuo Kikuu cha Harvard, katika Idara ya Sayansi za Dunia na Sayansi za Sayari. Utafiti wake ulikuwa juu ya mwingiliano wa kiwango cha bahari na tabaka za barafu, akisimamiwa na Profesa Jerry X. Mitrovica.[3]Gomez alipokea shahada ya uzamili ilifanyika katika Taasisi ya Courant ya Sayansi ya Hisabati|Taasisi ya Courant ya Sayansi ya Hisabati katika Chuo Kikuu cha New York. Kwa sasa yeye ni profesa katika Idara ya Sayansi ya Dunia na Sayansi ya Sayari katika Chuo Kikuu cha McGill, na ni mwenyekiti wa Utafiti katika inchi ya Canada katika Geodynamics ya Tabaka za Barafu na mwingiliano wa Kiwango cha Bahari.[4]
Marejeo
hariri- ↑ "Natalya Gomez". Idara ya Sayansi na Sayansi za Sayari. Iliwekwa mnamo 2019-09-10.
- ↑ "2019 AGU Section Awardees and Named Lecturers". Eos. Iliwekwa mnamo 2019-09-10.
- ↑ "Natalya Gomez". eps.harvard.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-28. Iliwekwa mnamo 2019-09-10.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ Government of Canada, Industry Canada (2012-11-29). "Canada Research Chairs". Iliwekwa mnamo 2019-09-10.
{{cite web}}
: Text "websitwww.chairs-chaires.gc.ca" ignored (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Natalya Gomez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |