Ndidi Kanu

Mwanasoka wa Nigeria

Ndidi Kanu (alizaliwa 26 Agosti 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye alicheza katika klabu ya wanawake ya Odense Q.[1][2]

Ndidi Kanu
Amezaliwa 26 Agosti 1986
Nigeria
Kazi yake Mwanasoka

Maisha ya Awali hariri

Kanu alizaliwa katika mji wa Abuja mwaka 1986. Kanu alicheza katika klabu ya Queens na kuhamia klabu ya Odense BK nchini Denmark mwaka 2006 kwa mkataba wa miezi sita. [3][4]

Marejeo hariri

  1. "OB ser på nye nigerianere - fyens.dk - Sport - Fyens Stiftstidende". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo |archiveurl= requires |archivedate= (help). Iliwekwa mnamo 6 February 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Sasvari to coordinate Girls teams for top local club! Archived 23 Januari 2016 at the Wayback Machine.}}
  3. "Ny nigerianer i OB". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-16. Iliwekwa mnamo 2022-05-13. 
  4. "Nigeria - N. Kanu - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". ng.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ndidi Kanu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.