Nelly Kamwelu

Nelly Alexandra Kamwelu (amezaliwa 1993) ni Mtanzania ni mwanamitindo na malkia wa urembo Miss Universe Tanzania na Miss Southern Africa International katika mwaka 2011. Aliweza kuwakilisha nchi yake katika Miss Universe 2011 ndani ya SãoPaulo, Brazil, Miss International 2011 ndani ya China, Miss Earth 2011 ndani ya Manila, Philippines, na Miss Tourism Queen International tena China.

Ni malkia pekee katika nchi yake pekee aliyeweza kumaliza tuzo nne za Grand Slam Pagents (Miss universe, Miss International, Miss Earth na Miss Tourism Queen International) ndani ya mwaka mmoja.

MaishaEdit

Kamwelu alizaliwa na Mtanzania Baba na Mrusi Mama. Alianza kushiriki katika ugombeaji wa urembo za kimkoa mwaka 2008 na mwishowe alifanikiwa kunyakua nafasi ya pili.Ilala 2008[1]baada ya kuweza kushiriki katikaMiss Tanzania mwaka huohuo laakini hakupata.

Nelly alishirikishwa katika nyimbo za video za video za waimbaji wa kiatanzania kabla hajashiriki Miss Universe 2011.Wimbo uliachiwa YouTubewakati alipokuwa anashiriki katika tamasha la urembo São Paulo, Brazil.[2]

Aliweza pia kuwakilisha Tanzania in Miss International 2011 ambayo ilifanyika China na Miss Earth 2011 katika Manila,Philippiness lakini hakupata.

Mwishoni aliweza kuwakilisha nchi yake katika Miss Tourism Queen International 2011 ambayo ilifanyika katika Xian, China ambapo alichukua nafasi ya nne.

Miss Universe TanzaniaEdit

Kamwelu alishinda katika toleo la tano laMiss Universe Tanzania pageant in May 2011.[3] na kuwakilisha nchi yake katikaMiss Universe 2011na kuwa king’ara katikaSão Paulo, Brazil. Japo kuwa hakushindalakini aliweza kuwateka kwa vazi lake kitamaduni ambalo kwa hilo aliweza kupokea sifa kedekede.[4]

Nelly alirudisha nafasi ya pili ya Miss Universe Tanzania kwa kushiriki katikaMiss International 2011 na pia aliweza kurudisha nafasi ya kwanza kwa kurudi nchi kwakeChengdu, China kuwakilisha Tanzania katika Miss Earth 2011.

Miss Southern Africa InternationalEdit

Kamwelu alithaminiwa na Tanzania Tourist Board kuwakilisha nchi katikaMiss Southern Africa International mashindano yaliyofanyika Ndola, Zambia kama sehemu ya Zambia International Trade Fair.Alijipatia wadhifa[5]kwa kuwashinda washiriki sita na kushinda Evening Gown award.[6]

Miss Tourism Queen InternationalEdit

Katika mwaka wa mwisho(2011),Nelly aliendelea kushiriki katika Miss Tourism Queen International 2011na kuwa mashindano yake ya kwanza ndani ya nchi yake na kuibuka king’ara kwa kushika nafasi ya tano katika mashindano ya mwisho.[7]

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nelly Kamwelu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.