Nelson, New Zealand
Nelson (Kimaori: Whakatū) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 45,500 (2010). Iko upande wa kusini wa kisiwa. Eneo lake ni 445 km². Mji ulinazishwa mwaka 1841.
Mji wa Nelson (New Zealand) | |
Mkoa | Nelson-Tasman |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 41°17′5″0 - Longitudo: 173°17′0″E |
Eneo | 445 km² |
Wakazi | 45,500 (mji pekee) 59,800 (pamoja na rundiko) |
Msongamano wa watu | watu 102.2 (mji pekee) kwa km² |
Simu | +64 (nchi), 03 (mji) |
Mahali | |
Viungo vya nje
hariri- (Kiingereza) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|