Nelspruit

Nelspruit ni mji mkuu wa jimbo la Mpumalanga katika Afrika Kusini. Iko kando la mto Crocodile (mamba) takriban 330 km upande wa mashariki wa Johannesburg na km 60 upande wa magharibi wa mpaka wa Msumbiji.

Mji wa Nelspruit
Nelspruit

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Afrika Kusini" does not exist.Mahali pa mji wa Nelspruit katika Afrika Kusini

Majiranukta: 25°28′12″S 30°58′48″E / 25.47°S 30.98°E / -25.47; 30.98
Nchi Afrika Kusini
Majimbo Mpumalanga
Idadi ya wakazi
 - 110,159

Mji mwenyewe ni mdogo una wakazi 24,000 pekee. Vitongoji vilivyojenga wakati wa siasa ya apartheid viko mbali kidogo ni KaNyamazane, Msogwaba, Mpakeni na Matsulu jumla ni wakazi 220,000.

Nelspruit ni kitovu cha huduma na biashara kwa mazingira penye kilimo kingi kuna pia viwanda vinavyoshughulika mazao kama machungwa, malimau, maembe, jozi na ndizi.

Kuna kituo cha reli pamoja na uwanja wa ndege. Kuna utalii kutokana na wageni wa hifadhi ya taifa ya Kruger iliyo karibu.

Nelspruit itakuwa mahali mmojawapo wa kombe la dunia la soka mwaka 2010.


Viungo vya NjeEdit


  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nelspruit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.