Nyuroni

(Elekezwa kutoka Neuroni)

Nyuroni ni seli zinazobeba msukumo wa umeme ndani ya mwili[1]. Ndiyo vitengo vya msingi vya mfumo wa neva na sehemu yake muhimu ni ubongo.

Neuroni
Nyuroni.

Kila nyuroni hufanywa na kiini cha seli (pia huitwa soma), chembe za ubongo na aksoni. Chembe za ubongo na aksoni zipo katika muundo wa nyuzi.

Kuna takriban nyuroni bilioni 86 katika ubongo wa binadamu, ambazo zinajumuisha karibu 10% ya seli zote za ubongo.

Nyuroni hutumiwa na seli za gliali na astrosaiti.

Nyuroni huunganishwa kwa kila tishu moja.

Tanbihi hariri

  1. Mnamo 1770 tabibu Mwitalia Luigi Galvani alifanya majaribio ya kusababisha mitukutiko ya miguu ya chura aliyechinjwa kwa msaada wa mashine ya umeme. Hivyo ilitambuliwa ya kwamba umeme una kazi hata katika mwendo wa mwili na musuli.
  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyuroni kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.