Neuss ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 151,280. Mji ulianzishwa 16 KK.

Mji wa Neuss






Neuss

Bendera

Nembo
Neuss is located in Ujerumani
Neuss
Neuss

Mahali pa mji wa Neuss katika Ujerumani

Majiranukta: 51°12′0″N 6°42′0″E / 51.20000°N 6.70000°E / 51.20000; 6.70000
Nchi Ujerumani
Majimbo Rhine Kaskazini-Westfalia
Idadi ya wakazi (2009)
 - Wakazi kwa ujumla 151,280
Tovuti:  www.neuss.de

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Neuss kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.