Nevertheless (bendi)
Nevertheless, mara nyingi hufupishwa kuwa NTL, ni bendi la Kikristo linaloimba nyimbo za mtindo wa pop linalotoka eneo la Chattanooga, Tennessee. Wimbo wao "Live Kama We're Alive" ulifika nafasi ya tano kwenye chati ya nyimbo za Kikristo ya R&R Christian Rock Chart. Wimbo wao wa "The Real," ulichezwa sana katika stesheni za redio za Kikristo zinazochezesha nyimbo za kisasa. The Real ulikuwa katika chati nyingi za Nyimbo Bora Kumi kote nchini Marekani. Bendi hili lilitangaza uamuzi wao wa kustaafu na wakashiriki katika tukio lao la mwisho mnamo Desemba 2009. Walitoa uamuzi huu kwa sababu ya maisha ya kibinafsi na pia shinkizo kutoka watu wengine.
| |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | Chattanooga, Tennessee Marekani |
Aina ya muziki | Bendi la Kikristo |
Miaka ya kazi | 2003 - 2009 |
Studio | Flicker Records (2006-2009) |
Ame/Wameshirikiana na | Fireflight |
Tovuti | http://www.neverthelessmusic.com/main.php |
Wanachama wa sasa | |
Josh Pearson AJ Cheek Adam Wann Adam Rowe | |
Wanachama wa zamani | |
Brad Jones Zack Randolph |
Bendi hili limezuru na mabendi mengine mengi yanayoimba nyimbo za Kikristo za kisasa kama vile : Superchick, Skillet, Hawk Nelson, Falling Up, na Number One Gun.
Jina la Bendi
haririJina la bendi imechukuliwa kutoka Biblia katika kitabu cha Luka 5:5 (Toleo la New King James), wafuasi wa Yesu walikuwa wakivua samaki na Yesu akawaambia watupe nyavu yao katika upande huo mwingine wa mashua ,
" But Simon answered and said to Him, "Master, we have toiled all night and caught nothing; nevertheless at Your word I will let down the net."
Wanachama wa Bendi
haririKabla kustaafu
hariri- Pearson Josh - mwimbaji kiongozi, mchezaji gitaa.
- AJ Cheek - mchezaji gitaa, mwimbaji msaidizi
- Adamu Wann - mchezaji gitaa ya aina ya bass
- Adamu Rowe - mchezaji ngoma.
Wanachama wa Zamani
hariri- Brad Jones - mchezaji gitaa, mwimbaji msaidizi
- Zack Randolph - mchezaji gitaa
Diskografia
hariri- 2005: {1}From The Inside Looking In EP - (albamu ya kurekodi wakijitegemea)
- 2006: Live Like We're Alive (wakiwa na studio maarufu)
- 2008: In The Making ...
- 2009: When I'm With You EP - (albamu ya kujitegemea)
Virejeleo
hariri- http://www.jesusfreakhideout.com/news/2009/06/15.JFH%20NEWS%20SHORTS%20FOR%20MONDAY%20JUNE%2015%202009.asp
- Jesusfreakhideout.com: Christian Music News, Music News
- Top 20 Meltdown; a national radio countdown for songs played on WAY-FM Network's national rotation; Archived 31 Desemba 2007 at the Wayback Machine. 10 Machi 2007 chart
- http://www.jesusfreakhideout.com/news/2009/10/10.JFH%20NEWS%20SHORTS%20FOR%20SATURDAY%20OCTOBER%2010%202009.asp
- Interview at Jesus Freak Hideout, Septemba 2006
- Biography at CMCentral.com,
Viungo vya nje
hariri- Tovuti Rasmi
- Ukurasa kwenye tovuti ya MySpace
- Mahojiano Archived 1 Desemba 2008 at the Wayback Machine.