Newcastle upon Tyne
Newcastle ni mji wa Uingereza ulio kando ya mto Tyne. Mji una watu wengi: takriban wakazi 271,600 wanaishi mjini huko.
Newcastle upon Tyne | |
Mahali pa mji wa Newcastle upon Tyne katika Uingereza |
|
Majiranukta: 54°58′0″N 1°36′0″W / 54.96667°N 1.60000°W | |
Nchi | Uingereza |
---|---|
Mkoa | Uingereza Kaskazini-Mashariki |
Wilaya | Tyne na Wear |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 271,600 |
Tovuti: www.newcastle.gov.uk |
Jiji hili lilikua baada ya kuongozwa na Waroma na likaitwa the Castle na Robert Curthose.
Vivutio jijini hapa
haririUnapotembea jijini Newcastle, hutokuwa umetembea sana kama hutoangalia Seven Bridges zenye mvuto mkubwa sana. Kulingana wa wovuti wa, pahala pengine penye mvuto mkubwa zaidi jijini Newcastle ni Eldon Square Shopping Centre. Hapa utaweza kununua vitu unavyotaka kwa bei rahisi na pia uweze kuangalia wachuuzi mbalimbali na uone watu wengi walio kwa hii shopping centre.
Great North Museum, Hancock ni pahala pengine penye mvuto mkubwa. Hapa utaweza kuona vitu mbali mbali vilivyo kwa hii museum na pia uweze kujua historia ya jiji hili la Newcastle.
Life Science Centre ni mahala kwingine ambapo utaweza kujua mengi kuhusu sayansi katika Newcastle. Katika Life Science Centre utaweza kupitia kwa 4D motion ride.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Newcastle upon Tyne kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |